Tarehe iliyowekwa: February 9th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wanging'ombe, Dkt. Peter Maiga Nyanja anawataarifu wananchi wote kuwa kutakuwa na zoezi la Utafiti wa Hali ya Lishe kwa Watoto wenye Umri chini ya Miaka 5 pamoja na ...
Tarehe iliyowekwa: February 9th, 2024
Na. Nickson Kombe,
WAJUMBE wa Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango (KFUM) wameridhishwa na maendeleo ya Mradi wa Stendi ya Mabasi, Igwachanya kwa Awamu ya Kwanza ya utekelezaji wake.
Akiongea...
Tarehe iliyowekwa: February 8th, 2024
HALMASHAURI ya Wilaya ya Wanging'ombe imeendelea kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan linalohusu udhibiti wa magonjwa yasiyoambukizwa kupitia mazo...