Tarehe iliyowekwa: October 28th, 2023
Na. Nickson Kombe,
Kuelekea kilele cha maadhimisho siku ya Afya na Lishe kwa Vijana Balehe, kitaifa yanayotarajiwa kufanyika Mkuranga, Mkoani Pwani. Wilaya ya Wanging'ombe imeadhimisha katika Kat...
Tarehe iliyowekwa: October 27th, 2023
Na. Nickson Kombe,
Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ameelekeza usuluhishi wa mipaka ya Wilaya za Wanging'ombe na Makete akiwa kwenye ziara mkoa wa Njombe, Kata ya Kipengere.
...
Tarehe iliyowekwa: October 24th, 2023
Na. Nickson Kombe,
Ziara ya Balozi wa Japan, Bw. Yasushi Misawa ametembelea mradi wa Zahanati ya Itambo, Kijiji cha Itambo, Kata ya Mdandu, Wilaya ya Wanging'ombe.
Akiongea na wananchi...