Tarehe iliyowekwa: December 31st, 2025
Mimi Dkt. Peter Maiga Nyanja naungana na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwatakia Heri ya Mwaka mpya 2026 wananchi wa Wanging'ombe na watanzania wote kwa ujumla...
Tarehe iliyowekwa: December 25th, 2025
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Wanging'ombe, Dkt. Peter Maiga Nyanja anawatakia watanzania wote kheri ya sikukuu ya Krismasi, Boxing Day 2025 na Mwaka Mpya 2026.
...
Tarehe iliyowekwa: December 15th, 2025
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Wanging'ombe, Dkt. Peter Maiga Nyanja, Menejimenti na Watumishi wa Halmashauri wanatoa salamu za pongezi za dhati kwako Mhe. Dkt. Festo John Dugange kwa...