WAKAZI wa Kata za Igwachanya, Mdandu, Luduga, Itulahumba, Ilembula, Usuka na sehemu nyinginezo wanakaribishwa kwenye soko la Igwachanya (Lembukha) linalofanyika mara mbili kwa mwezi (kati kati ya Mwezi na Mwishoni) ambapo kwa sasa nyama choma inapatikana kwa bei nafuu zaidi. Soko lijalo ni Ijumaa tarehe 09 Januari 2026. Eneo ni mkabala na Igwachanya Stand. Karibuni nyote.
Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.