• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

Historia

Wilaya ya Wanging’ombe ni miongoni mwa Wilaya za Mkoa wa Njombe.Ilianzishwa mwezi machi 2012 kabla hapo ilikuwa sehemu ya Wilaya ya njombe vijijini. Jina Wanging’ombe limetokana na jina la kijiji cha Wanging’ombe ambacho kipo katika kata ya Wanging’ombe. Makao makuu ya Wilaya ya Wanging’ombe yapo  kijiji cha Igwachanya katika kata ya Igwachanya.

Wilaya ya wanging’ombe ina ukubwa wa eneo lenye Kilomita za Mraba 3440.54, ikiwa na watu  161816 kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012.   Wakazi wa wilaya ya Wanging’ombe ni Wabena,wakinga,wahehe na watu wa kabila tofautitofauti.

Wilaya ya Wanging’ombe ina Tarafa 3,Kata 21 na Vijiji 108. Ikolojia ya Wilaya ya Wanging’ombe imegawanyika katika makundi mawili kuna maeneo ni ya ukanda wa baridi na ukanda wa joto.

Kutokana na ilkolojia hiyo wakazi wa Wanging’ombe wanajishughulisha na shughuli za kilimo cha mazao ya chakula ambayo ni mahindi, mtama, viazi mviringo,viazi vitamu, maharage, mihogo, njugu mawe, ngano, kunde na njegere na mazao ya biashara kama vile  kahawa, chai, alizeti, pareto na karanga pamoja na Ufugaji.Pamoja na shughuli za kilimo wakazi wa wanging’ombe pia wanajishughulisha na ufugaji wa nyuki ,ufugaji wa Ng’ombe,Mbuzi,Kuku pamoja na biashara ndogondogo.



HISTORIA YA VIONGOZI WA WILAYA YA WANGING’OMBE

NA.
JINA KAMILI
MWAKA ALIONZA
MWAKA ALIONDOKA
 
  1.
   
      Anthon Emmanuel Mahwata

   
         2013
     
                -

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 WILAYA YA WANGING'OMBE December 14, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI March 18, 2019
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA July 09, 2019
  • MWENGE WA UHURU September 13, 2019
  • Itizame yote

Habari mpya

  • Utekelaji Anwani za Makazi wafikia asilimia 67 kwa Ikoa yote

    March 31, 2022
  • VIJANA 246 WAPATIWA MAFUNZO ANWANI ZA MAKAZI

    March 22, 2022
  • WANANCHI KATA YA IMALINYI WAJENGEWA KITUO CHA AFYA

    March 17, 2022
  • WANANCHI KATA YA WANGAMA WAJENGEWA KITUO CHA AFYA

    March 12, 2022
  • Itizame yote

Video

Ugawaji Pikipiki kwa Maafisa Ugani
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)
  • REGISTRATION OF ALLIED HEALTH PROFESSIONALS
  • Mfumo wa maombi ya Ajira

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • Halmashauri ya Mji Makambako
  • Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Copyright ©2021 Wanging'ombedc . All rights reserved.