• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Wanging'ombe District Council
Wanging'ombe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Kilimo
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Mipango na Ufuatiliaji
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Mazingira
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Rasilimali Watu
    • Kitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Huduma
    • Huduma ya Maji
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha uongozi na Mipango
      • Kamati ya UKIMWI
      • Maadili
      • Uchumi,Afya na Elimu
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kumwona Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Gazeti la Serikali
    • Sheria ndogo za Halmashauri
    • Mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

Idara ya Mipango na Ufuatiliaji


Idara ya  Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji inashughulikia upangaji na uratibu wa mipango ya maendeleo katika miaka husika,  usimamizi na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ya Halmashauri, Tafiti na ukusanyaji wa Takwimu pamoja na kuratibu shughuli za Uwekezaji.  Idara hii inaongozwa na Mchumi wa Halmashauri na imegawanyika katika sehemu tano kama ifuatavyo:-


     Mipango na Sera

     Usimamizi na Ufuatiliaji wa Miradi ya Maendeleo

    Uwekezaji

      Tafiti na Takwimu.

     Sehemu ya TASAF


  Sehemu ya Mipango na Sera.


Majukumu ya sehemu hii ni kama ifuatavyo:-


      Kusimamia Uandaaji wa mpango wa utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi kila mwaka.

      Kuratibu ufanisi wa mifuko ya Halmashauri: LGCDG, Mfuko wa Jimbo na fedha za mapato ya ndani.

      Uratibu na utayarishaji wa Mipango shirikishi katika Kata zote za Halmashauri kupitia Mfumo wa O&OD.

      Uratibu na utayarishaji wa Mpango na Bajeti ya kila mwaka ya Halmashauri.

      Kusimamia uandaaji wa mipango kazi (Action Plans) ya bajeti za kila mwaka na kuziwasilisha katika ngazi husika..

      Kuratibu uandaaji wa maandiko ya miradi mbalimbali ya maendeleo.

      Kuratibu maandalizi na utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN)

      Kuratibu maandalizi ya Sera na Mpango Mkakati wa Halmashauri

     Kuratibu uandaaji wa taarifa mbalimbali za Halmashauri pamoja na taarifa za utekelezaji wa maagizo kutoka mamlaka za juu za serikali


Sehemu ya Usimamizi, Ufuatiliaji na Tathmini ya miradi ya


maendeleo.


Majukumu ya sehemu hii yapo kama ifuatavyo:-


      Kuratibu uandaaji wa taarifa za Ilani ya Uchaguzi wa CCM ya  2015 - 2020

      Kufuatilia utekelezaji halisi na matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo.

     Kuratibu miradi ya jumuiya za wananchi na taasisi nyinginezo za ndani na nje ikiwemo miradi ya wahisani

      Kuratibu utekelezaji wa Mipango ya muda mrefu, kati  na mfupi ikiwepo Ilani ya Uchaguzi na uandaaji wa taarifa za utekelezaji wa mipango hiyo

    Kuratibu utekelezaji wa mipango shirikishi.

     Kuandaa taarifa za Miradi ya maendeleo ya Manispaa kwa vipindi mbalimbali na kuziwasilisha kwenye mamlaka husika.

      Kuandaa mapitio ya bajeti ya kila mwaka baada ya kipindi cha nusu mwaka

      Kuandaa mapendekezo ya kubadili matumizi ya vifungu vya bajeti ya maendeleo kila inapobidi.

     Kuandaa taarifa za matukio ya kila wiki na kuiwasilisha ngazi ya mkoa.


Sehemu ya  Uwekezaji.


Sehemu hii hushughulikia mipango ya uwekezaji katika Halmashauri ya Manispaa kwa kufanya yafuatayo:-


1. Kuratibu na kusimamia maandalizi ya mipango ya uwekezaji ya Halmashauri.


2. Kuratibu utekelezaji na uandaaji wa taarifa za mipango ya uwekezaji


3. Kuratibu utekelezaji wa miradi ya DMDP


Sehemu ya  Utafiti na Takwimu.


Sehemu hii hushughulikia masuala yanayohusu takwimu mbalimbali za kiuchumi na kijamii pamoja na kuratibu shughuli za utafiti kama ifuatavyo:-


Ø  Kuratibu na kusimamia benki ya Takwimu ya Halmashauri ikihusisha takwimu za LGMD.


Ø   Kuhuisha na kuboresha Takwimu za Kiuchumi na Kijamii (Profile) za Halmashauri.


Ø  Kuratibu na kuhifadhi takwimu za Idadi ya watu za Halmashauri kwa


Ø  kutumia rejista za wakazi wa Mitaa.


Ø  Kuratibu na kutathmini utekelezaji wa Mpango mkakati wa Halmashauri 2012/13 – 2016/17


Ø  Kuratibu zoezi la Sensa ya Watu na Makazi.


Ø  Kuandaa taarifa za utatuzi wa kero na malalamiko kila wiki na kuziwasilisha kwa Mkuu wa Mkoa


Sehemu ya TASAF


Utekelezaji wa shughuli za awamu ya tatu ya TASAF Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF III PSSN) katika Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

Matangazo

  • Mwongozo wa uchaguzi waViongozi wa ngazi ya vijiji na vitongoji September 07, 2019
  • Mwongozo wa Elimu kwa Mpiga kura September 07, 2019
  • Tangazo la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa August 30, 2019
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA UALIMU SHULE YA MSINGI NA SEKONDARI March 02, 2019
  • Itizame yote

Habari mpya

  • MAENDELEO YA NCHI YATALETWA NA WANANCHI WENYE AFYA BORA KUPITIA CHF ILIYOBORESHWA

    November 07, 2019
  • MAPATO YA NDANI YAAKISI MAENDELEO YA KWELI KWA WANANCHI “KASINGE”

    August 01, 2019
  • KATAZO LA MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI (RAMBO)

    May 13, 2019
  • Shilingi Milioni 94 kuwanufaisha akina Mama,Vijana na Walemavu Wanging'ombe

    January 23, 2019
  • Itizame yote

Video

NYUMBANITU: Msitu wa maajabu uliopo Wilaya ya Wanging'ombe ambamo kunapatikana kuku weusi tu na wasiopungua wala kuongezeka
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Vivutio vya Utalii Wanging'ombe
  • Historia ya Halmashauri ya Wanging'ombe
  • Mfumo wa Mawasiliano ya ndani wa Serikali Government Mailing System (GMS)

Tovuti Mashuhuri

  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi kwa watumishi wanaopewa ruhusa na Katibu Mkuu Kiongozi
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • BUNGE
  • Halmashauri ya Mji Makambako
  • Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji,Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe.

    Sanduku la Posta: P.o.Box 64 Njombe

    Simu ya mezani: 0766050788

    Simu ya Kiganjani: 0766050788

    Barua pepe: ded@wangingombedc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani

Hati miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe. Haki zote zimehifadhiwa